Chaguo La Moyo Lyrics
Hey hey
Oh baby
Teddy B
No
Mi' nakuchagua wewe, wewe uwe wangu
Mume wangu, baba wa watoto wangu
Kupendwa nawe majaliwa kukuoa ni baraka eeh
Mshikaji wangu wa maisha
Oh baby I love you
And for you ninabadili mienendo yangu baba
Baby for you
Ninaukimbia ujana mama eeh
Nijenge boma nawe (nawe)
Nizae watoto nawe (nawe)
Niwalee pamoja nawe (nawe)
Nizeeke pamoja nawe (nawe)
Nijenge boma nawe (nawe)
Nizae watoto nawe (nawe)
Niwalee pamoja nawe (nawe)
Nizeeke pamoja nawe (nawe)
Chaguo la moyo tam tarara tam tam
Chaguo la moyo tam tarara tam tam
Na kwenye ? unavong'aa unavopendeza kwenye lorinda
Oh Baby, I knew you're the one for me
Oh baby, you're the one for me
I can tell the way you smile, the way you laugh
The way you talk, the way you walk
Baby, you're the one for me
I swear you're the one for me
For you ninabadili mienendo yangu mama
https://www.elyricsworld.com/chaguo_la_moyo_lyrics_otile_brown.html
Baby for you Ninaukimbia ujana wangu
Nijenge boma nawe (nawe)
Nizae watoto nawe (nawe)
Niwalee pamoja nawe (nawe)
Nizeeke pamoja nawe (nawe)
Nataka nijenge boma nawe (nawe)
Nizae watoto nawe (nawe)
Niwalee pamoja nawe (nawe)
Nizeeke pamoja nawe (nawe)
Chaguo la moyo tam tarara tam tam
Chaguo la moyo tam tarara tam tam
[Outro: Otile Brown]
Otile Brown
Na Sanaipei