Jambo bwana Lyrics
Jambo, Jambo bwana
Habari gani
Mzuri sana
Wageni, Wakaribishwa
Kenya yetu Hakuna Matata
Kenya nchi nzuri
Hakuna Matata
Nchi ya maajabu
Hakuna Matata
Nchi yenye amani
Hakuna Matata
Hakuna Matata
Hakuna Matata
https://www.elyricsworld.com/jambo_bwana_lyrics_safari_sound_band.html
Watu wote
Hakuna Matata
Wakaribishwa
Hakuna Matata
Hakuna Matata
Hakuna Matata. (till end)