Music Song Lyrics

Music Lyrics
Browse: 0-9 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Custom Search
Main Menu
Home
Top Lyrics
Newest Lyrics
Tourist Landmarks
Download Ringtones
Contact
Submit Lyrics
 
Members Area
Remember me
Forgot password
Sign Up




Music Lyrics » » Lyrics - Lyrics


Milele Lyrics

[Verse 1:Wambizzy]
Malenga wa kubadili zao nia,
Kama una masikio sikia,
Usije basi ukapuliza gunia,
na wenye roho nyepesi watasengenya,
hawatatuombea,
na mi nishakupenda wee
kwa wazazi nikupeleke,
na mi nishakupenda wewe..... wewe

[Bridge]
la la la la la la la la
la là la la la la la la
la la la la la la la la
la la la la la la la la

[Hook]
Subira jaribu kuivuta leo,
Subira jaribu kuivuta eeeeeh,
Subira jaribu kuivuta leo,
Subira jaribu kuivuta leeeeoooo...

[Verse 2: Maureen]
Bagua, bagua, utabaguliwa,
Pokea utakubaliwa,
Tabia tabia, imani ndiyo njia,
nimeamua nikupende,
Watu wasitenganishe,
Niwe wako milele,
juu mi nishakupenda wewe,
kwa wazazi nikupeleke,
https://www.elyricsworld.com/milele_lyrics_elani.html
mi nishakupenda eeeeeh

[Bridge]

[Hook]

[Hook]

Latest lyrics from Elani: You may also like these song lyrics:
Heartbeat Lyrics
Kookoo Lyrics
Barua Ya Dunia Lyrics
Hapo Zamani Lyrics


We tried to make Elani - Milele Lyrics accurate, but if you find any mistake in Milele Lyrics please use the submit lyric link from the left menu to submit the right version. You can also submit Elani Lyrics that are not currently present in our site using the same link. We appreciate that.

Other options:
Milele lyrics @ songlyrics.com

[Lyrics Time]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
�2004-2011 elyricsworld.com

Lyrics