Mwanza Lyrics
Vanny Boy….
Ehh Vanny boy.
Ehe.
They are not ready for this
Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza
nyegezi Eeh nyege nyege Kwetu mwanza
nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza nyegezi
Oya wind your waist Njoo nipatie Commando Nikupe cha mkwesi Kwa miuno
ya taekwondo Asa chekele Mwendo wa kandanda Ndani ya makwanda Sa
nisongeze Leta msambwanda Nikazie ngangangaaa
(chiii!) Kananivuta ghetto Nkapinge bunduki (
High bunduki) Ile naogopa central Michezo ya Amber Rutty (
Amber Rutty)
Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza
nyegezi Eeh nyege nyege Kwetu mwanza
nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza nyegezi
Yaani kama mjaluo Shepu ya Mombasa Hapendagi mpasuo Hata akishinda
basata Tepe tepe mtoto kama supu teke teke
(kongoro) Kwa mateke mwite Fally Ipupa wa temeke (
Ndombolo) Shaku shaku ya masai (
Oooh masai) Kama kama nachuma papai (
Oooh papai) Funika funua (twendee) Bandika bandua
(twendee) Anika anua (twendee) Kanipa chukua (twendee)
Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza
nyegezi Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege
https://www.elyricsworld.com/mwanza_lyrics_rayvanny_feat._diamond_platnumz.html
Nishushe mwanza nyegezi Oya fiti kalikiti ti katoto hakashikiki
kwenye bilingiti ti Huvunjaja na kiti (oya!
) Oooh sa iweke Ah iweke iweke… Ah iweke Ipitishe kwa chini Ah iweke
iweke… Ah iweke Miendo ya kazi kazini Ah iweke iweke… Ah iweke Hii
ile ndindindii Ah iweke iweke… Ah iweke Ngoja shake it ivoo Ah iweke
iweke… Ah iweke Twende shaku kidogo Ah iweke
iweke… Ah iweke Chuma magimbimbi Ah iweke iweke… Ah iweke