Music Song Lyrics

Music Lyrics
Browse: 0-9 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Custom Search
Main Menu
Home
Top Lyrics
Newest Lyrics
Tourist Landmarks
Download Ringtones
Contact
Submit Lyrics
 
Members Area
Remember me
Forgot password
Sign Up




Music Lyrics » » Lyrics - Lyrics


Tetema Lyrics

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)
Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)

Its s2kizzy baby

Tetema yaani kama umepigwa shoti
Tetema nipe migandisho ya roboti
Tetema ukutani hadi kwenye kochi
Tetema kwenye giza mama shika pochi

Katoto kamenoga
(ooh mama)
Nakapandiza za bukoba
(ooh mama)
Nakapadisha bodaboda
(ooh mama)
Kakichoka kuchuma mboga
(ooh mama)
Aaai mama shigidi aah
Nakufa wooi wicked aai
Aaai mama shigidi konki
Fire, moto, liquid

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)

Tetema!
Yaani kama vile generator
(tetema)
https://www.elyricsworld.com/tetema_lyrics_rayvanny_feat._diamond_platnumz.html
Kama mwizi kakupiga ngeta
(tetema)
Mwendo wa kutwanga kupepeta
(tetema)
Chini nikipuliza tarumbeta
Asa wooza! Wooza!
Cheza shogoloza
Kufa chali kama mende
Maria Roza poza tungi limepoza
Twende nikupige nyembe
(brrr... Okay)
You make my mind go kolo
(kolooo... kolo)
Ukinuna tu mie doro
(Dorooo... doro)
Washa!
Saa nipe za digidigi
Washa!
Miuno ya giggy giggy
Washa!
Funga kibindo mkwiji kwiji
Washa!
Nikunyonge ka ziggy ziggy
Teeete!

(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema
(ooh mama tetema)

Aya twende tetema
(ooh mama tetema)
Shuka chini tetema
(ooh mama tetema)

Ayo Lizer,
Chiii!!

Kichaa kime-kime-kimepanda
Ame wehuka
(Kime-kimempanda)
Kapandisha mizuka
(Kime-kimempanda)
Ana ruka ruka
(Kime-kimempanda)
Kichaa kime-kime-kimempanda
Kapanda juu ya meza
(Kime-kimempanda)
Eti anavua shati
(Kime-kimempanda)
Kalewa anacheza
(kime-kimempanda)
Yaani varangati
Wasafi

Latest lyrics from Rayvanny feat. Diamond Platnumz: You may also like these song lyrics:
Mwanza Lyrics


We tried to make Rayvanny feat. Diamond Platnumz - Tetema Lyrics accurate, but if you find any mistake in Tetema Lyrics please use the submit lyric link from the left menu to submit the right version. You can also submit Rayvanny feat. Diamond Platnumz Lyrics that are not currently present in our site using the same link. We appreciate that.

Other options:
Tetema lyrics @ songlyrics.com

[Lyrics Time]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
�2004-2011 elyricsworld.com

Lyrics