Kwa Ngwaru Lyrics
[Verse 1]
Hhhhmm
I wish ningekuwaga na mavumba
Mkwanja manoti
Nikuhonge vya thamani
Ama niwe fundi wa kuigiza ka Kanumba
Masanja Joti usiwe mbali nami
Hhhhhmm
My Darling i need you love
Uwe namii Haki ya Mungu Nakupenda
Nobody can show you love
Usiwaamini ukishawapa wanakwenda
[Bridge : Harmonize]
Ooh! Basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Deka nikudekeze nikutunze kama mboni (iyelewi)
Wakija wapoteze jifanye kama huawoni (iyelewi)
Kisha Uniongeze ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi)
[Chorus]
Ooh Baby
Asa dance nikuone (Kwa Ngwaru)
Wabanijoo (Kwa Ngwaru)
Uno la feni (Kwa Ngwaru)
Ooh Baby
Asa cheza nikuone (Kwa Ngwaru)
Wabanijoo (Kwa Ngwaru)
Basi cheza na mimi (Kwa Ngwaru)
[Verse 2 : Diamond Platnumz]
Aaagah
Moyo wangu wa muarobaini
Mchungu ukiuziwa
Samehe mara sabini
Huo uzungu sijawahi elewa
Ungependa juu ama chini
Kwenye uvungu uparemiwa
Nkumbatie baridini
Kwenye tundu kama njiwa
Moyo wangu mie wa makuti
Usinijie na kibiriti (Hasa weee)
Penzi likageuka chuki
Nyumba ikawa kibiti ((Hasa weee)
Nipatie vya kitandani
Nipe mpaka kwenye kiti (Hasa weee)
Ila asiniingie shetani
Nawe nkaja kukucheat
[Bridge : Diamond Platnumz]
Ooh Basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Kitandani nikoleze
Kwa miuno ya kingoni (iyelewi)
Kisha nibembeleze
Nirudishe utotoni (iyelewi)
Weka mate niteleze
Kama nyoka pangoni (iyelewi)
https://www.elyricsworld.com/kwa_ngwaru_lyrics_harmonize.html
[Chorus : Diamond Platnumz & Harmonize]
Ooh Baby
Asa dance kidogo (Kwa Ngwaru)
Oh! Wabanijoo (Kwa Ngwaru)
Uno la feni (Kwa Ngwaru)
Ooh! Baby
Asa cheza nikuone (Kwa Ngwaru)
Wabanijoo (Kwa Ngwaru)
Basi cheza na mimi (Kwa Ngwaru)
[Outro : Diamond Platnumz & Harmonize]
Aaagah
Unataka kucheza chura na ingali umesimama
Aaah Inama Inama
Asa waonyeshe (Aaah Inama Inama)
Unachezaje (Aaah Inama Inama)
Unataka maji ya kisima na mboga kuchutama
Aaah Inama Inama
Ebu waonyeshe (Aaah Inama Inama)
Unachotaje (Aaah Inama Inama)
Unataka kupiga deki wima umesimama
Aaah Inama Inama
Ebu tuonyeshe (Aaah Inama Inama)
Unapigaje (Aaah Inama Inama)
Si unataka vya Pool table sa mbona unajibana
Aaah Inama Inama
Ebu tuonyeshe (Aaah Inama Inama)
Unalengaje (Aaah Inama Inama)
Wasafi Records
Yeeeeh!
Oya wanangu wa kigogo (Aaah Inama)
Nipe za Mose iyobo (Aaah Inama)
Vunja vunja kidogo (Aaah Inama)
Aah niongeze mikogo (Aaah Inama Inama)