Mapacha Lyrics
mapacha hawatenganishwi kalmu nami muandishi muandishi,
usinilenge mi malanga aa,
sina mengi mimi nina shairi mashairioooh wajua nakupendaaa, wajua nakulinda musichana wa afrikawajua nakupendaaa, wajua nakulinda we kidosho wa afrika
we uje nizalie musichana
nami nikupe wewe kijana
penzi linawiri nakamwe tusilisalitiii
sina mengi mm nina shairi mashairi wwoouuuu! wo wo woouuux2
https://www.elyricsworld.com/mapacha_lyrics_sauti_sol.html
ooooh ni wewe tuu, ni wewe napeeendaa niwewe wewe
ni wewe nataka
africa nzima yakutamani ni weweee ni wewe wewe wewe wewe wewe eeee