Loading...

HOTSEA - LEO Lyrics

LEO

[Verse 1]
Nishapata inspiration
Looking deep into your eyes explanation
Ya mi kuwa swift kwa hii operation
Bila kuwaste time, bila intervention
Kutoka kwa machizi wanasema yangu ni obsession
Penzi letu likiboom, lao recession
So wapende wasipende lazima nitamention
Vako na uzuri wako kwanza uki…
Mami ukishajipodoa
Macho nafungua nawe kufunga ndoa
Siri zetu sitawahi toa, toboa
Ukiwa nami mambo shwari, mambo ni poa
Ukiwa down ntakuokoa
Nikiwa wrong usiogope kunikosoa
Ni poa kuwa right once si kila time
So usiogope kunikosoa

[Chorus]
Mapenzi ya kesho
Nimeacha leo
Vitisho, mateso
Nimeacha leo
Kuwa bendera fwata upepo
Nimeacha leo
Kweli leo leo leo
Asemaye kesho muwongo

[Verse 2]
Leo leo leo (Leo)
Leo leo leo
Nishapata fahamu ka binadamu
Kwa dakika moja najisahau
Kwa sababu nikikuona ndio angalau
Mi uhurudi timamu
Narudi kwa zamu yangu ile timamu
Uko down ama uko up in the air
Kama swali kwangu uko up in the air
Kuwa na wee ndio prayer
Najua kwa wengine hiyo si fair
Uko down ama uko up in the air
Kama swali kwangu uko up in the air
Kuwa na wee ndio prayer
Najua kwa wengine hiyo si fair

[Chorus]
Mapenzi ya kesho
Nimeacha leo
Vitisho, mateso
Nimeacha leo
Kuwa bendera fwata upepo
Nimeacha leo
Kweli leo leo leo
Asemaye kesho muwongo

[Outro]
Mapenzi ya kesho
Vitisho, mateso
Kuwa bendera fwata upepo
Kweli leo leo leo

Date Added: 2017-09-13
Comments
0 (1 votes)
Artist Information
Loading...