Music Song Lyrics

Music Lyrics
Browse: 0-9 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Custom Search
Main Menu
Home
Top Lyrics
Newest Lyrics
Tourist Landmarks
Download Ringtones
Contact
Submit Lyrics
 
Members Area
Remember me
Forgot password
Sign Up




Music Lyrics » » Lyrics - Lyrics


SICKER Lyrics

[Intro]
Prrr…
Toka Kenya hadi Nigeria
Usiangalie far niko area
Nachafua hii beat bacteria
Usiwe na pupa wee tulia

[Chorus]
Ukichungulia, ukiangalia
Waona nini kama sio mic mia
Nishakuambia nikipata nia
Nitapata flow yangu na njia pia
Mi ni sicker sicker
(Sicker than malaria)
Mi ni sicker sicker
(Sicker than malaria)
Mi ni sicker sicker
(Sicker than malaria)
Sicker than malaria X2

[Verse 1]
Ayo!
Ndio niweze kubite
Tafadhali nipe beat na mic halafu jump na psyche (aye)
Ndio niweze kuwa bright ka light
Nipate appetite kwa hii verse niwa-ignite
Leo nataka kuwa ka kite
Straight ka post ya Kenya Power upright
Kama specs za Baus niwe insight
Ka unadai beef usingoje niku-incite
Na mi nahope hiyo imemake sense
Ime-impress wale wote on the defence
Times two kama lens nime-invest
Heavily on doing away with the pretense
Naexpect ukiwa na interest utaexpress vile wafeel bila kutense
Badala ya kunitaja ukiwa nyuma ya fence
Kuwa mwanaume say it all to my face


[Chorus]
Ukichungulia, ukiangalia
Waona nini kama sio mic mia
Nishakuambia nikipata nia
Nitapata flow yangu na njia pia
Mi ni sicker sicker
(Sicker than malaria)
Mi ni sicker sicker
(Sicker than malaria)
Mi ni sicker sicker
(Sicker than malaria)
Sicker than malaria X2

[Verse 2]
Bila kutaja wale chache vijana
Nilipatana wakisema washakosana na mi
Eti sababu nilikuwa nafanya
Zile vitu wanatamani wangepata jana
Jana nilikuwa nimeachana na Anna
Kuona kama nitawezana na Lorna
Kuona alikuwa laana
Ilibidi nimetoka teke bila mabana
https://www.elyricsworld.com/sicker_lyrics_hotsea.html
Itabidi nimebonga mdogo mdogo
Nisije kapasua ubongo
Uwongo ni kusema mi husikiza bongo
Ukweli ni kusema boss uko na kisogo
Hata ukijaribu kupatiana hongo
Itakuwa ni hasara kama bra kwa mgongo
Kujaribu kununua mkate na jongo
Kusema wee mzungu yet home ni Bondo

[Chorus]
Ukichungulia, ukiangalia
Waona nini kama sio mic mia
Nishakuambia nikipata nia
Nitapata flow yangu na njia pia
Mi ni sicker sicker
(Sicker than malaria)
Mi ni sicker sicker
(Sicker than malaria)
Mi ni sicker sicker
(Sicker than malaria)
Sicker than malaria X2

[Verse 3]
Boom shaka
(Boom shaka laka)
Kile nataka napata nikikosa nitasaka
First nikuspit vitu mnataka
The next thing ni mi kujipata niko Bata
Boss skiza poa hapa kweli nishaapa
Kutoka ni nooks so mnaweza kujikata
Kama mlidhani nyi mashatta mnafaa kujua
Hamtoshi mboga hata
Hata tukipatana kwa giza, mataa
Masaa iwe jijini iwe kwenye mtaa
Mnafaa kujua kwamba mi ni mtoto wa Jah
Wengine wenu najua watoto wa njaa
Ndio sababu nyi hukujanga na tamaa
Mnadhani nyi ni gas kumbe nyi ni makaa
Mnaanza kuni-curse huyo mi ndani kwa car
Sikuanza na kaVitz ilikuwa sedan

[Chorus]
Ukichungulia, ukiangalia
Waona nini kama sio mic mia
Nishakuambia nikipata nia
Nitapata flow yangu na njia pia
Mi ni sicker sicker
(Sicker than malaria)
Mi ni sicker sicker
(Sicker than malaria)
Mi ni sicker sicker
(Sicker than malaria)
Sicker than malaria X2

[Outro]
Hotsea ni sicker than malaria
Vostee ni sicker than malaria
MosEye ni sicker than malaria
Sicker than malaria…X2
PimPim sicker than malaria
D.U.G sicker than malaria
Dibby Syke sicker than malaria
Sicker than malaria… X2

Latest lyrics from HOTSEA: You may also like these song lyrics:
NDANI YA MACHO Lyrics
LEO Lyrics
FRIENDS FOR LIFE (F4L) Lyrics
PEMA PEPONI Lyrics
DAMU Lyrics
VOODOO Lyrics
LMS (Lil Ms Sunshine) Lyrics
RAPPER-POLOGY Lyrics
WAJUA Lyrics
SI AJALI Lyrics


We tried to make HOTSEA - SICKER Lyrics accurate, but if you find any mistake in SICKER Lyrics please use the submit lyric link from the left menu to submit the right version. You can also submit HOTSEA Lyrics that are not currently present in our site using the same link. We appreciate that.

Other options:
SICKER lyrics @ songlyrics.com

[Lyrics Time]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
�2004-2011 elyricsworld.com

Lyrics