NDANI YA MACHO Lyrics
[Intro]
Yeah
Listen
Ndani ya macho X2
[Verse 1]
Hii shit ni serious
Mi plus you boo so delicious
Kukuvishapete mami ni so obvious
Juu yako mi huwa so delirious
Kila day na wee huwanga auspicious
Kuwa in love ni face, basi mi ni genius
Kile nafeel for you honey ni conspicuous
Imejichora kwa face mami contagious (Love)
You so bootyful, bootylicious
Niko so sure sijawahi kuwa dubious
“Nigwedete muiritu we wakwa
Niodo wa wendo no nyede uke gwakwa”
Zako ni Gucci, Prada, Stiletto Vuitton
Kama niku-gyrate mami wee huperform
You so mindful of what you through in
Ndio maana nakuita Gorgeous
[Chorus]
Ndani ya macho (Macho)
Yako ndio napata wings
Za kufly high
Na kwako (Kwako)
Mikononi mwako (Mwako)
Ndio napata life
Life…
[Verse 2]
https://www.elyricsworld.com/ndani_ya_macho_lyrics_hotsea.html
Yangu ushajua nia
Ushanipa njia
Ndio maana ninafurahia
Ulishasema wee si wakung’ang’aniwa
Wale soo ulilenga nikachaguliwa
Milele penzi lako sitoachilia
Hata wakati wa shida nitavumilia
Kile nataka nituzidi kuwa familia
Hatatunapo pitia shida za dunia
Plus…
Nasingetaka kukuacha ukifikirai
Ukishapata pete bas’ nakutumia
Kama wale wasee, eh
Hutumianga dame ka punda
Penzi lako antique na ni bombastic
Linafanya hata hater kugeuka shabik’
Hunileteanga bliss nawa ecstatic
Nasema kile nataka naacha semantics
Penzi lako antique na ni bombastic
Linafanya hata hater kugeuka shabik’
Hunileteanga bliss nawa ecstatic
Nasema kile nataka nacheki
[Chorus]
Ndani ya macho (Macho)
Yako ndio napata wings
Za kufly high
Na kwako (Kwako)
Mikononi mwako (Mwako)
Ndio napata life
Life… X2