Music Song Lyrics

Music Lyrics
Browse: 0-9 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Custom Search
Main Menu
Home
Top Lyrics
Newest Lyrics
Tourist Landmarks
Download Ringtones
Contact
Submit Lyrics
 
Members Area
Remember me
Forgot password
Sign Up




Music Lyrics » » Lyrics - Lyrics


WAJUA Lyrics

[Intro]
Shubi-dubi-doop-doop-doop-dooo
Aye
Aye (Ayeee)!
HOTSEA

[Verse 1]
Ningekuwa natafta malaika ningeenda mbinguni kwa dakika
Lakini nimejikuta kwa club
Madada ni wengi na vile naona ni wee ndo malaika
Nasingetaka kudanganya vile ningeweza kupa dunia
Dunia ni shida mami hebu tulia
Wataka kucheka ama ni kulia
Napendanga number one sitaki number two

[Chorus]
Wee ni mfine na tayari wajua
Aaaah...
Unashine sana kuliko hata jua
Aaaah...
Shingo huwa zinaturn kila time ukituwa
Aaaah...
We ni mfine na tayari wajua
Unashine sana kuliko hata jua

[Verse 2]
Ngoja ngoja huumiza nini ma?
Ka si matumbo basi nini ma?
Nikisema nakupenda ma
Si eti nina pupa ma
Nah!
Naweza ngoja hadi kesho
Utembee juu ya hizo leso
Kama beshte yangu Nyangweso
Ma sina mcheso

[Chorus]
Wee ni mfine na tayari wajua
Aaaah...
Unashine sana kuliko hata jua
Aaaah...
Shingo huwa zinaturn kila time ukituwa
Aaaah...
We ni mfine na tayari wajua
Unashine sana kuliko hata jua

[Bridge]
Shubi-dubi-doop-doop-doop-dooo
Aye
Aye (Ayeee)!

[Verse 3]
Kwa yangu akili
Ukishadunga mini natia bidii
https://www.elyricsworld.com/wajua_lyrics_hotsea.html
Najua kwa nini mi huwa hivi
Juu kwa hizi streets hakuna ka mimi
Mi ni ule msee anaweza kutpa mbili bila kufeel
Natumanga barua bila kuseal
Napenda kutoa CD kabla nideal

[Chorus]
Wee ni mfine na tayari wajua
Aaaah...
Unashine sana kuliko hata jua
Aaaah...
Shingo huwa zinaturn kila time ukituwa
Aaaah...
We ni mfine na tayari wajua
Unashine sana kuliko hata jua

[Verse 1 REPEAT]
Ningekuwa natafta malaika ningeenda mbinguni kwa dakika
Lakini nimejikuta kwa club
Madada ni wengi na vile naona ni wee ndo malaika
Nasingetaka kudanganya vile ningeweza kupa dunia
Dunia ni shida mami hebu tulia
Wataka kucheka ama ni kulia
Napendanga number one sitaki number two

[Chorus]
Wee ni mfine na tayari wajua
Aaaah...
Unashine sana kuliko hata jua
Aaaah...
Shingo huwa zinaturn kila time ukituwa
Aaaah...
We ni mfine na tayari wajua
Unashine sana kuliko hata jua

Latest lyrics from HOTSEA: You may also like these song lyrics:
NDANI YA MACHO Lyrics
LEO Lyrics
FRIENDS FOR LIFE (F4L) Lyrics
PEMA PEPONI Lyrics
DAMU Lyrics
VOODOO Lyrics
LMS (Lil Ms Sunshine) Lyrics
SICKER Lyrics
RAPPER-POLOGY Lyrics
SI AJALI Lyrics


We tried to make HOTSEA - WAJUA Lyrics accurate, but if you find any mistake in WAJUA Lyrics please use the submit lyric link from the left menu to submit the right version. You can also submit HOTSEA Lyrics that are not currently present in our site using the same link. We appreciate that.

Other options:
WAJUA lyrics @ songlyrics.com

[Lyrics Time]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
�2004-2011 elyricsworld.com

Lyrics