Music Song Lyrics

Music Lyrics
Browse: 0-9 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Custom Search
Main Menu
Home
Top Lyrics
Newest Lyrics
Tourist Landmarks
Download Ringtones
Contact
Submit Lyrics
 
Members Area
Remember me
Forgot password
Sign Up




Music Lyrics » » Lyrics - Lyrics


VOODOO Lyrics

[Intro]
HOTSEA
Aka Voodoo
Mara (kama)
Ya (kawa)
Thao
Aka voodoo

[Chorus]
Hii singengoja mpaka kesho ndio nido
Kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
Hii singengoja mpaka kesho ndio nido
Kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)

[Verse 1]
Najita stallion forever mi ni champion
Natumianga milion ka bob kwa trillion
Kwa pavilion nipate in oblivion
Nimedunga kavest, ngotha chini ni magideon
Nahama toka condomonium
Ni kweli ka si sheesha nitavuto opium
Jaribu kunigusa ndio utajua Lithium
Si kali kuliko a little Sodium pamoja na Potassium

[Chorus]
Hii singengoja mpaka kesho ndio nido
Kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
Hii singengoja mpaka kesho ndio nido
Kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)

[Verse 2]
Tafadhali usibonge niletee upuzi
Nikiwa zone ntabonda kama kauzi
Eh chali yako ndio naita mbuzi
Sijajua leo hiyo nilijua juzi
Anakula nyasi mi naeneza ujuzi
Hana form forever kazi yake ni kunichukia
Coz alisikia
Jina ni Getusi boss mi narudia

[Chorus]
Hii singengoja mpaka kesho ndio nido
Kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
Hii singengoja mpaka kesho ndio nido
Kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)

[Bridge]
Voodoo
Aka vodoo
https://www.elyricsworld.com/voodoo_lyrics_hotsea.html

[Chorus]
Hii singengoja mpaka kesho ndio nido
Kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
Hii singengoja mpaka kesho ndio nido
Kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)

[Verse 3]
Romeo na Casanova walilala
Lakini huyu brother hajawahi kula lala
Bila madada kuwa karibu sana
Naye chini ya maji chini undercover
Ukinicheki around nipige salam ni how
Hii sikuplan ni how madam
Tukifika kwangu leo ni how madam
Sitaki unisahau madam ni how

[Chorus]
Hii singengoja mpaka kesho ndio nido
Kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
Hii singengoja mpaka kesho ndio nido
Kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)

[Outro]
MosEye si unajua singengoja mpaka kesho ndio nitoe ngoma ka hii
Si unajua tena
Vostee...PimPim
D.U.G...Dibby Sykes
Niko na psyche lakini kuna vile kabeat kameniishia
(hehe)

Latest lyrics from HOTSEA: You may also like these song lyrics:
NDANI YA MACHO Lyrics
LEO Lyrics
FRIENDS FOR LIFE (F4L) Lyrics
PEMA PEPONI Lyrics
DAMU Lyrics
LMS (Lil Ms Sunshine) Lyrics
SICKER Lyrics
RAPPER-POLOGY Lyrics
WAJUA Lyrics
SI AJALI Lyrics


We tried to make HOTSEA - VOODOO Lyrics accurate, but if you find any mistake in VOODOO Lyrics please use the submit lyric link from the left menu to submit the right version. You can also submit HOTSEA Lyrics that are not currently present in our site using the same link. We appreciate that.

Other options:
VOODOO lyrics @ songlyrics.com

[Lyrics Time]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
�2004-2011 elyricsworld.com

Lyrics