PEMA PEPONI Lyrics
[Intro]
Dedication kwa Apto...Apton
Nintey one, hadi two zero one three
Mungu kamuweka hapa duniani
Yeah
Mungu kamuweke pema peponi
[Verse 1]
Na ni kama tu jana nilipokutana na kujuana naye
Nilikuwanga form two kwa hivyo kujuana ilikuwanga ni one-two
Alichosema hakukosa kutenda
Juu ya hiyo wengi walimpenda
Lakini Mungu aliye juu zaidi yetu sote kampenda
[Chorus]
Mweke pema peponi
(Mweke pema peponi)
Mweke pema peponi
(Mweke pema peponi)
Mweke pema peponi
(Mweke pema peponi)
Mweke pema peponi
(Mweke pema peponi)
[Verse 2]
Ndugu kwa wengi
Rafiki kwa wengi
Mwana kwa wale wachache wasio wengi
Angekuwa bado ‘jadedi ningemweka kwa yangu bendi
Bendi ya Mwokozi
Naye awe kiongozi
Atufunze kuacha uchokozi
[Chorus]
Mweke pema peponi
(Mweke pema peponi)
Mweke pema peponi
(Mweke pema peponi)
Mweke pema peponi
(Mweke pema peponi)
Mweke pema peponi
(Mweke pema peponi)
[Verse 3]
Alikuwanga tu ishirini na
Kama jua na nyota pamoja aling’aa
Aye, si kwa majokes alikuwa far
https://www.elyricsworld.com/pema_peponi_lyrics_hotsea.html
Alikuwa Hart
Nami nilikuwa fan
Lakini nani angedhani angedie
Kijana so ripe, so hype, so young
Dakika moja alikuwa so sound
The next minute alikuwa out no sound
Sikudhani angeenda this round
Sidhani nitaweza kusahau
Smile yake, face yake, uzuri wake, kila kitu chake
[Bridge]
Psalms 23 verse 4
“Ye though I walk through the valley of shadow of death,
I will fear no evil, for you are with me, your rod and staff they comfort me”
[Chorus]
Mweke pema peponi
(Mweke pema peponi)
Mweke pema peponi
(Mweke pema peponi)
Mweke pema peponi
(Mweke pema peponi)
Mweke pema peponi
(Mweke pema peponi)
[Outro]
Sisi wanawako tumekusanyika
(Angalia Bwana)
Sisi hatuwezi bila wewe
(Angalia Bwana)
Sisi wanawako tumekusanyika
(Angalia Bwana)
Bila wewe hatuwezi
(Angalia Bwana)