DAMU Lyrics
[Intro]
Ni HOTSEA (kama kawa)
Aye X3
Kwa damu (damu) X3
Legoo…
[Verse 1]
Niamkapo
Fikra moja kila siku huwa nami
Niongeapo
Sifa zako hunitoka kinyuani
Nitembeapo
Njia mi hufwata ni zako pekee daddy
Zile salama
Kunifikisha nyumbani bila alama
[Chorus]
Maishani mwangu (maishani mwangu)
Nimeona binadamu (wakiabudu sanamu)
Wakipoteza fahamu (ya aliye waumba)
Hii yenu tena zamu
Ya kuoshwa upya na damu (damu)
[Verse 2]
Ndugu maisha gani haya
Ya kutenda dhambi bila haya
Chunguza tabia brother Mola akirudi usiwe na lawama
Kwa mwangaza wee ni malaika
Gizani wee ni kadhalika
Kama hutobadilika
Mola akizuru ni lazima kupitwa
[Chorus]
Maishani mwangu (maishani mwangu)
Nimeona binadamu (wakiabudu sanamu)
Wakipoteza fahamu (ya aliye waumba)
Hii yenu tena zamu
Ya kuoshwa upya na damu (damu)
https://www.elyricsworld.com/damu_lyrics_hotsea.html
[Bridge]
Damu iliyomwagika pale Calvary
Ndiyo damu huniondolea, kusafisha dhambi
Damu pekee hunitendea maajabu
Milele na milele
[Chorus]
Maishani mwangu (maishani mwangu)
Nimeona binadamu (wakiabudu sanamu)
Wakipoteza fahamu (ya aliye waumba)
Hii yenu tena zamu
Ya kuoshwa upya na damu (damu)
[Outro]
Damu, Damu, Damu