Loading...

HOTSEA - FRIENDS FOR LIFE (F4L) Lyrics

FRIENDS FOR LIFE (F4L)

[Intro]
Aye
Najua tumekuwanga mabeshte tangu tene
Wee!
Lakini hadi lini?
Friends for life X3

[Chorus]
Nimemjua tangu kale yee eh
Kumpimia toka mbali yee eh
Anaweza kuwa na chali yake
Lakni ndani moyoni mwangu
Natamani niwe wake

[Verse 1]
Marafiki wa jadi
Marafiki wa dhati
Tumekuwa kila mahali
Pamoja kila wakati
Akiflop akipata bahati
Kwa nyumba ya mawe, mabati
Nimekuwa kivuli chake
Natamani leo niwe wake

[Chorus]
Nimemjua tangu kale yee eh
Kumpimia toka mbali yee eh
Anaweza kuwa na chali yake
Lakni ndani moyoni mwangu
Natamani niwe wake

[Verse 2]
Hunifanya kuwa binadamu wa kujiamini (Kujiamini)
Hunifanya kuwa down to earth na siringi (Na siringi)
Ni rafiki yangu jana, leo hata kesho
Lakini saa hii (Saa hii)
Nataka tuwe zaidi

[Chorus]
Nimemjua tangu kale yee eh
Kumpimia toka mbali yee eh
Anaweza kuwa na chali yake
Lakni ndani moyoni mwangu
Natamani niwe wake

[Verse 3]
Dunia inaweza isha leo
Si vyema kutulia kungoja kesho
Leo anaweza kuwa rafiki wa kufa kupona
Lakini kesho
Hutoweza kumugusa, muona

[Chorus]
Nimemjua tangu kale yee eh
Kumpimia toka mbali yee eh
Anaweza kuwa na chali yake
Lakni ndani moyoni mwangu
Natamani niwe wake

[Outro]
Aye
Najua tumekuwanga mabeshte tangu tene
Wee!
Lakini hadi lini?

Date Added: 2017-09-13
Comments
0 (1 votes)
Artist Information
Loading...