Music Song Lyrics

Music Lyrics
Browse: 0-9 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Custom Search
Main Menu
Home
Top Lyrics
Newest Lyrics
Tourist Landmarks
Download Ringtones
Contact
Submit Lyrics
 
Members Area
Remember me
Forgot password
Sign Up




Music Lyrics » » Lyrics - Lyrics


RAPPER-POLOGY Lyrics

[Intro]
(Niko zone)
Yaba yaba
(Yabadaba doo)
Yaba yaba
(Yabadaba doo)
Yaba yaba
(Yabadaba doo X2)
HOTSEA!

[Verse 1]
Yabadaba doo kama Flinstone
Hullabaloo ndio sibongangi
Achia baboon
Wengi huenda salon kusema saloon
Huwezi juwa labda vichwa zao baloon
Na…
Kama si ku-fork tunaweza spoon
Na kufika kwa moon ma ni very soon
Na…
Tukifika kwa room maroon wacha cartoon ma
Shika broom anza kubloom
Na…
Kati ya June, July
Nipate across the line
Nimedelight in finding madame ka nine
Moja wa kunidai
Nane wakujidai nao
Nikifika kwetu, kwangu Sinai
Why lie kuna vile niko fine
Nikishika mic (uugh)
A million rhymes
Hunitoka so no apologies
Kama rap ni ology niite rapper-pologist (listen)
Rapper-pology, Genealogy
Yangu ukichunguza, utagundua
Sinanga economy
Na maneno zangu
Unataka nitumie IS ama nitumie ISH
Eish miss please miss
Usijaribu kudismiss hii shit
Nimeanza saa hii hii ni pure bliss
Ndio maana nitabonga polepole uelewe nacho maanisha (skiza)
Nikisema wee ni chizi toka tene
Unabonga bila sababu kwani wee ni celeb
Sijakusho vile wee huwanga kama malenge
Lakini dame yako mtamu kama maembe

[Chorus]
https://www.elyricsworld.com/rapper-pology_lyrics_hotsea.html
Oh my sijasema niko fly
Nime-smoke kiasi abda useme niko high
Oh my nikisema wee ni sly
Chunguza kiasi ka tabia yako fine X2

[Verse2]
Hii ni massacre ya fake MCs
Toka CBD (Nai) hadi NYC
Hii nikusema najiamaini
Niko down to earth na pia kamili
(Gazaaa!)
Shika kalamu hii ni ABC
Rap 101 niko na PhD
Tatu ni za Kenya, tatu ni oversees
Moja ya kuflow, moja ya kuwashow hata
Oh my
Hata na piano pekee naweza angusha flow ya mine
Oh my
Aye jaribu kuniamini
Aye…

[Chorus]
Oh my sijasema niko fly
Nime-smoke kiasi abda useme niko high
Oh my nikisema wee ni sly
Chunguza kiasi ka tabia yako fine X2

[Outro]
Aa ha
Sa hii kuna vile ninafeel kiyabadaba doo kiyabadaba doo doo
Doo doo yabadaba yabadaba doo doo!

Latest lyrics from HOTSEA: You may also like these song lyrics:
NDANI YA MACHO Lyrics
LEO Lyrics
FRIENDS FOR LIFE (F4L) Lyrics
PEMA PEPONI Lyrics
DAMU Lyrics
VOODOO Lyrics
LMS (Lil Ms Sunshine) Lyrics
SICKER Lyrics
WAJUA Lyrics
SI AJALI Lyrics


We tried to make HOTSEA - RAPPER-POLOGY Lyrics accurate, but if you find any mistake in RAPPER-POLOGY Lyrics please use the submit lyric link from the left menu to submit the right version. You can also submit HOTSEA Lyrics that are not currently present in our site using the same link. We appreciate that.

Other options:
RAPPER-POLOGY lyrics @ songlyrics.com

[Lyrics Time]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
�2004-2011 elyricsworld.com

Lyrics